Swala ‘Fiqhi Ibada yenye picha'. Lengo la ‘Taqbiiq' hii ni kumfikia mwanafunzi na kujua sifa ya swala ya Mtume kuanzia kwenye takbiir hadi kwenye salamu kama kwamba Mtume yu baina yetu tunasoma moja kwa moja kutoka kwake.
댓글
댓글