Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu? App yetu ya Herufi na Akili itampatia mwanao msingi imara wa Elimu! App hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10000 kwenye Play Store!
댓글