Miombo-Tembo ni kifaa cha simujanja kinachoongeza natumizi zaidi ya tekinolojia katika uhifadhi endelevu wa maliasili ama kwa kuzuia uharibifu usitokee au sijirudie tena. Vitu muhimu vinavyoweza fanyika ni: Jira/Mahali. Ramani. Dira/Uelekeo/Kutafuta. Kutuma jum, be zenye jira. Kurekodi jira na njia. Kutuma KML kwa ajili ya Google Earth, ESRI ArcEarth, QGIS, etc. Vipeperushi.
댓글