Mwana Jangwani

Mwana Jangwani

꾸러미:
com.msoft.yangafans
다운로드:
100K
크기:
5.1 MB
지원되는 android 버전:
4.1 이상
업데이트 날짜:
2020년10월24일
1,6K
최신 버전:
1.7.2
모든 버전
나이:
16+
다운로드

Je wewe ni shabiki kindakindaki wa Yanga aka wa Kimataifa? Kama ni hivyo karibu sana. Ndani ya Mwana Jangwani utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu klabu yako unayoipenda sana. Utaweza kupata ratiba za michezo, matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani na nje ya uwanja. Mwana Jangwani ni yako wewe shabiki namba moja wa Yanga.

댓글

관련 콘텐츠

출신 앱 MSoft Tanzania